Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin pamoja na Mwanamitindo Flaviana Matata wakitoa mabegi kwa mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi.
Jumla ya wanafunzi 650 wa shule zilizopo katika Halmashauri za Lindi na Nachingwea mkoa wa Lindi wamenufaika na msaada huo wa mabegi hayo yenye vifaa mbalimbali vya shule, msaada huo umetolewa kwa pamoja kati ya PSPF na Taasisi ya Flaviana Matata.
Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Colleta Mnyamani akimpongeza mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi. Jumla ya wanafunzi 650 wa shule zilizopo katika Halmashauri za Lindi na Nachingwea mkoa wa Lindi wamenufaika na msaada huo wa mabegi hayo yenye vifaa mbalimbali vya shule, msaada huo umetolewa kwa pamoja kati ya PSPF na Taasisi ya Flaviana Matata.
Mwanamitindo Flaviana Matata (wa tatu kutoka kulia waliosimama nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi. Jumla ya wanafunzi 650 wa shule zilizopo katika Halmashauri za Lindi na Nachingwea mkoa wa Lindi wamenufaika na msaada huo wa mabegi hayo yenye vifaa mbalimbali vya shule, msaada huo umetolewa kwa pamoja kati ya PSPF na Taasisi ya Flaviana Matata. Kushoto ni Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin.

Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa kushirikiana na Taasisi ya Flaviana Matata imetoa msaada wa vifaa vya shule kwa wanafunzi walio katika mazingira magumu mkoani Lindi.
Flaviana Matata ambaye ni mwanamitindo anayefanya kazi nchini Marekani amekabidhi mabegi 650, kila begi lina vifaa mbalimbali vya shule. Vifaa vilivyokabidhiwa na Flaviana Matata mwenyewe kwa baadhi ya wanafunzi wa wilaya za Nachingwea na Lindi Mjini
Lengo la msaada huo ambao umetolewa kwa pamoja kati ya Taasisi ya Flaviana Matata na PSPF ni kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha kila mwanafunzi nchini Tanzania anapata elimu akiwa na vifaa muhimu vinavyohitajika.
Hii ni mara ya pili kwa PSPF kwa kushirikiana na Taasisi ya Flaviana Matata kutoa msaada huo kwa wanafunzi, mwaka jana wanafunzi wa shule mbalimbali mkoani Pwani walifaidika na msaada huo.
Mfuko wa Pensheni wa PSPF umekuwa ukijihusisha katika kusaidia maeneo mbalimbali yanayohitaji msaada ambao utaleta mabadiliko chanya kwa jamii ya Tanzania.

No comments:
Post a Comment