Monday, July 7, 2014

Wema Sepetu Uso Kwa Uso Na Mama Diamond, Soma Alichokisema....

Wema na mama Diamond
Mara kadhaa mama Wema Sepetu alikaririwa akisema hamkubali Diamond kuwa katika uhusiano na mwanae. Na kwa upande mwingine habari nyingine zilidai mama Diamond hamkubali Wema bali anamkub ali VJ Penny. Sasa basi leo ni birthday ya mama Diamond ambapo Wema ameweka picha katika mtandao mmoja wa kijamii wakionekana hawana tofauti bali wanaelewana kama kawa.


"today is this amazing woman's birthday...naanzaje kutokumpenda na kumtakia kila lenye kheri mama'ngu kipenzi ...Mungu akutangulie mummy....akuweke na azidi kukufungulia milango ya baraka mzaa chema wangu.....love you mama'ke"

No comments:

Post a Comment