Monday, July 7, 2014

Wellu Sengo Amuweka Hadharani Mwanae Wa Kike Aliyejifungua Hivi Karibuni.

Unakumbuka wiki ilopita SWP ilikuwa ya kwanza kuripoti kuhusu star wa filamu nchini Wellu Sengo kujifungua mtoto wa kike !...basi kwasasa Wellu tayari ametoa picha za binti yake huyo aliyempa jina la Valempia. Jionee..........

No comments:

Post a Comment