Monday, July 7, 2014

Sabby Angel Awacharukia Wanaotaka Kumtibua Mchana Kweupe.

Sabby Angel ambaye ni Star wa filamu anayekuja juu kwa kasi nchini kiasi cha kuwapa kiwewe mademu wenzake ameshangazwa na baadhi ya waigizaji wenzake aliocheza nao katika movie yake mpya ya SIO RIZIKI kudai filamu hiyo ni yao wakati ni yake yeye Sabby Angel na ndiye producer. Sabby amesema haielewi kwanini wanasema hivyo ili ijulikane ni yake na hata mkataba unaonyesha hivyo. Filamu hiyo ndiyo ya kwanza kuzalishwa na Sabby baada ya kuingia mkataba na Steps kama actress/producer


No comments:

Post a Comment