Pages

Saturday, July 12, 2014

Photos: Sabby Angel Katika Video Mpya Ya T.I.D

Actress wa Tanzania anayekuja juu kwa kasi Sabby Angel ambaye pia ni mwanamuziki anatarajiwa kuonekana katika video mpya ya T.I.D na tayari wameanza ku-shoot. Zinazoonekana ni picha wakiwa kwenye mishe mishe za video hiyo.

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment