Pages

Saturday, July 5, 2014

Nilisota Sana Katika Mazoezi Kabla Ya Kuchomoka Kwenye Filamu: Odama

Odama
Odama Jennifer Kyaka amesema kuwa moja ya changamoto kubwa aliyokutana nayo katika kazi zake za filamu ni kufanya kazi mazoezi kwa muda mrefu kipindi anaanza sanaa pasipo kujulikana kwa mashabiki.
Alisema kuwa filamu ya Shumileta ambayo alicheza kama mhusika mkuu msaidizi ilisaidia pia kuanza kujulikana lakini aliona mwanga zaidi wakati alipokuwa katika kundi la White Elephant na kina Riyama Ally kabla ya kufanya kazi kwa bidii mpaka mwaka 2009 kuanzisha kampuni yake ya filamu ya J-Film 4 life na sasa ni star mkubwa nchini huku filamu zake zikifanya vizuri sokoni. be inspire...!

Odama pia amesema kuwa filamu yake mpya ya Inside itakayoingia sokoni tarehe 10 mwezi huu wa July sio ya kukosa kwani humo ndani amefanya makubwa na wasanii wenzake akiwemo King Majuto.

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment