Monday, July 7, 2014

Lucy Komba Avishwa Pete Ya Uchumba na Mpenzi Wake Raia Wa Denmark, Ndoa Ni September

Lucy akiwa na mchumba'ke
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ! star wa filamu nchini Tanzania Lucy Komba ambaye ameibua vipaji vingi akiwemo Jackline Wolper na Irene Uwoya kwasasa amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye ni raia wa Denmark anayeitwa Janus, Lucy alivishwa pete muda kidogo sema mwenyewe ni mtu asiyependa mambo yake kuanikwa hovyo kwenye media.


 Magazeti na mitandao tangu wiki iliyopita imeanza kuandika habari za ndoa ya Lucy Komba ingawa SWP ilipata habari mapema tu ila haikuandika kutokana na sababu maalum nzuri. Hata hivyo kwasasa vikao vya harusi ya star huyo vinapamba moto na habari zinasema kuwa ndoa yake itafungwa mwezi September. Tungependa kumtakia Lucy kila la kheri, and watch this space for more............

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment