Sunday, July 13, 2014

King Majuto, Lufedha, Ben Blanco, Modest Bafite Kuliteka Soko Na Filamu Ya Mume Bora

Filamu ya mume bora iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa filamu za kitanzania inatarajiwa kulitikisa soko la filanu nchini hivi karibuni. Filamu hiyo imewakutanisha mastaa kama King Majuto, Salehe Lufedha, Modest Bafite, Ben Blanco na Nyakisola. Usikose kununua nakala yako halisi ikiingia sokoni.

No comments:

Post a Comment