Pages

Sunday, July 6, 2014

Filamu Ya The Stolen Dreams Ikiwa na Chuchu Hans, Jengua, Annasiri Msangi Na Danny Kaboma Kuingia Sokoni Kesho Jumatatu.

Ile filamu ya The Stolen Dreamz iliyowakutanisha Chuchu Hans, Annasiri Msangi, Jengua na Danny Kaboma inatarajiwa kuingia sokoni kwa upande wa Dar es salaam kesho Jumatatu. Filamyu hiyo ni kali kwa hiyo hakikisha hukosi kununua nakala yako halisi ili uburudike wewe na familia yako.

No comments:

Post a Comment