Pages

Tuesday, June 17, 2014

Zena Na Betina Toka Kwa Nisha Yafanya Maajabu Sokoni.

Filamu Ya Zena Na Betina Toka kwa Salma Jabu Nisha inadaiwa kufanya maajabu sokoni kwa kuuza vizuri tofauti na ilivyotegemewa awali. Kwa mujibu wa chanzo cha habari  "kimesema

 HATIMAE SALMA JABU NISHA AVUNJA RECORD SOKONI BAADA YA KUENDELEA KUFANYA VIZURI KWA FILAMU ZAKE HII NI KWA MARA YA NNE MFULULIZO HAPA AMEJENGA TASWIRA YA KWAMBA BASI YEYE NDIO KINARA KWA UPANDE WA WANAWAKE NA HII NI BAAADA YA ZENA NA BETINA KUTINGISHA SOKO VILIVYO"

Zena Na Betina imeingia sokoni tangu juzi tarehe 12 June, mastaa humo ndani ni Nisha, Senga, Farida Sabu, Hanifa Daudi, Manaiki Sanga na Lumolwe Matovolwa. Hakikisha unanunua nakala yako halisi uone kitimtim cha Zena Na Betina

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment