Pages

Saturday, June 28, 2014

Wema Sepetu Na Kajala Walimaliza Kabisa Beef Lao Katika Kibao Kata Cha Imelda Mtema.

Kajala, Aunty, Wema, Zamaradi na Maimatha wakiwa katika kibao kata cha Imelda
Habari mpya kama sio njema ni kuwa Wema Sepetu na Kajala Masanja wamemaliza tofauti zao zilizotokana na beef lao lilichukua week kibao sasa. Kwa mujibuw a taarifa mpya mitandaoni ni kuwa mastaa hao wawili ambao waliwahi kuwa mashosti wakubwa walimaliza beef lao katika sherehe ya kibao kata cha mwandishi wa magazeti ya Globalpublishers anayeitwa Imelda Mtema.

 Katika event hiyo mastaa kibao walihudhuria akiwemo Aunty Ezekiel ambaye kwasasa amekuwa karibu zaidi na Wema Sepetu. Nae Wema Sepetu kupitia Instagram ame-share picha hiyo hapo juu akiwa na kina Kajala na kuandika "nawapenda sana hawa hapa..jana hiyo kwa kibaokata cha Imelda Mtema"

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment