Pages

Sunday, June 15, 2014

Wema Sepetu Arudi S.Afrika Na Ujauzito Wa Week 7, Diamond Adaiwa Kuwehuka Kwa Furaha !

Wema Sepetu
New celebrity's gossip in town ni kuhusu Wema Sepetu kudaiwa kuwa mjamzito wa wiki 7 . Habari mpya zilizoanza kusambaa mitandaoni zinasema kuwa Wema amenasa ujauzito wa Diamond na hali hiyo imejulikana wiki iliyopita wakati walipokuwa S.Afrika kuhudhuria tuzo za MTV Africa Music Awards 2014.
Kwa mujibu wa habari hizo zinazodaiwa kuvujishwa na marafiki wa Diamond ni kuwa wakati Wema yupo S.Africa alikuwa anajisikia kichefuchefu na kujisikia vibaya hali iliyomlazimu kwenda hospitali huku akisindikizwa na Aunty Ezekeil ndipo majibu yakatoka kuwa amenasa ujauzito. Kwasasa inadaiwa Diamond ni kama amewehuka kwa furaha huku yeye na Wema wakidaiwa kufanya maandalizi ya nguvu kumkaribisha mtoto huyo. Hata hivyo inadaiwa kuwa Wema na Diamond bado hawajaweka wazi kwa familia zao mpaka sasa, ingawa mama Wema huko nyuma aliwahi kuapa Wema kutoshika ujauzito wa Diamond.

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment