Ray na Chuchu Hans |
"kwa tetesi za chini ya carpet zinadai Chuchu Hans wameona na Ray kimya kimya na wanaishi pamoja, nimedokezwa sasa hivi na ....(akimtaja msanii mmoja ambaye kwasasa filamu yake mpya imekuwa habari ya mjini) nilikuwa nae, inasemekana Johari alikuwa akimpiga vijembe Chuchu Hans kwenye msiba wa George Tyson na Ray kumsimamia Chuchu"
Swahiliworldplanet imejaribu kumtafuta Chuchu ili kutolea ufafanuzi madai hayo lakini haikufua dafu, lakini mara nyingi Chchu na Ray wamekuwa wagumu kuanika mambo yanayohusu uhusiano wao kwenye media., Ray wiki kadhaa nyuma alisema siwezi kumuoa Chchu na siku kadhaa baadaye Chuchu akajitokeza kujibu mapigo kuwa ni lazima Ray anioe.
Ray na Chuchu Hans
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment