Pages

Monday, June 16, 2014

Rais Kikwete Kuwaleta Trey Songz Na Usher Raymond Mwezi Ujao Kuzungumza Na Wasanii Wa Filamu Na Muziki.

Rais Kikwete na baadhi ya wasanii
Rais Kikwete anatarajia kuwaleta nchini wanamuziki maarufu wa Marekani Usher Raymond na Trey Songz mwezi ujao yaani July.Wasanii hao watatumbuiza na pia kuzungumza na wasanii wa muziki na filamu nchini kwa mujibu wake mwenyewe. Juzi wasanii na Rais Kikwete walikuwa Dodoma katika uzinduzi wa video ya campaign ya Muungano.

Trey Songz na Usher Raymond

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment