Pages

Sunday, June 29, 2014

Photos + Video: Jaguar Am-diss Prezzo Katika Show Huko Munich, Germany.


June 14 2014 mwanamuiki maarufu wa Kenya, Jaguar ali-perform huko Munich, Germany na watu kujaa kwenye show. Hata hivyo kwa mujibu wa chanzo makini kilichokuwepo kwenye show hiyo kiliambia SWP kuwa Jaguar alimtupia madongo mwanamuziki mwenzake Prezzo kutoka Kenya kuwa ni kigeugeu wakati alipokuwa akiimba wimbo wake wa Kigeugeu ambao umejipatia umaarufu mkubwa Afrika mashariki. Angalia picha za event hiyo na video inayomuonyesha Jaguar aki-perform na kumponda Prezzo....



No comments:

Post a Comment