Pages

Sunday, June 29, 2014

Odama Azidi Kuwa Mrembo Baada Ya Kujifungua.

Baada ya kujifungua mtoto hivi karibuni actress maarufu Swahiliwood Odama Jennifer Kyaka ameonekana kupendwa na ulezi na kupelekea kuwa mrembo zaidi a.k.a kutakata. SWP ilibahatika kukutana uso kwa uso na Odama juzi kuzungumzia filamu yake mpya ya Inside itakayoingia sokoni tarehe 10 mwezi July. Katika filamu hiyo kali iliyotengenezwa na kampuni ya J-Film 4 Life chini ya Odama, mastaa wengine waliocheza ni  king Majuto, Masinde, Dullah wa Planet bongo, Davina Halima Yahaya, Ben Branco na marehemu Rachel Haule. Usikose kununua nakala yako halisi. Hizi ni baadhi ya picha mpya za Odama baada ya kujifungua...

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment