Pages

Friday, June 20, 2014

More Photos Kutoka Filamu Ya Uncle Kiepe, Alocheza Batuli, Philemon Lutwaza, Patcho Mwamba.

Juzi tuliweka picha za behind the scenes za filamu mpya inayoitwa Uncle Kiepe, picha hizo zilimuonyesha Batuli na Patcho Mwamba na leo tumekuletea picha nyingine za uchukuaji wa filamu hiyo zikimuonyesha Philemon Lutwaza ambaye ni mhusika mkuu wa kiume wa filamu hiyo akiwa pamoja na Batuli mhusika mkuu wa kike na Patcho Mwamba.............

No comments:

Post a Comment