Monday, June 16, 2014

Monalisa Arudi Kama Judge Wa Tanzania Movie Talent 2014 Baada Ya Safari Ya UK Na Kifo Cha George Tyson.

Monalisa
afarBaada ya kuwa busy na safari ya Uingereza aliyoalikwa akiwa na mastaa wenzake wengine  na baadaye kupata msiba wa aliyekuwa mumuwe na muongozaji wa filamu nchini George Tyson, star mkubwa wa filamu Swahiliwood, Tanzania Yvonne Cherryl "Monalisa" amerudi mzigoni kama mmoja wa majaji wa shindano la kutafuta vipaji la Tanzania Movie Talent ambalo lipo chini ya Proin Promotions.
Kupitia page ya wameandika "We are happy to announce that our beloved Judge, Yvonne Cherryl "Monalisa" is back and she is in the house until we finnish our auditions"
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment