Pages

Tuesday, June 17, 2014

Frank Mwikongi Ajiandaa Na Mwezi Wa Ramadhani !

Picha mpya ya star wa filamu nchini Frank Mohamed Mwikongi akiwa amevaa vazi la kanzu inaonekana kama ni maandalizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao utaanza muda si mrefu !. Katika hii picha Frank ambaye anatamba na filamu nyingi sokoni huku akikubalika kwa uwezo wake wa kuigiza nafasi mbalimbali ameonekana kunenepa hata katika filamu zake za hivi karibuni na kupoteza lile umbo lake zuri la kimazoezi alilokuwa nalo muda mrefu huku mademu wengi wakiwa hoi kama anavyoonekana katika hiyo picha hapo chini siku za nyuma. Tunajua kuwa Frank anabeba chuma muda mrefu ingawa kwasasa amenenepa pia tofauti na zamani.

Because he is a talented actor we hope atafikiria kupungua kidogo na kuurudisha mwili wake wa awali ambao hata kwenye picha humfanya atoke vizuri kama star.
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

3 comments:

  1. True i support you Frank sasa hivi amenena na kupoteza kidogo ule uhandsome wake ulikuwa unatumaliza wadada wengi wa mjini, namshauri aendelee kuingia gym bt apungue unene abaki na mwili wa mazoezi kama zamani, love you ma baby frank mwaaaaaaah, it is me Julieth wa dar

    ReplyDelete
  2. kweli nimeona filamu yake inaitwa Ulimi yupo na Wolper amenenepa kitambi kimeanza kubisha hodi, yu are a good actor fuata ushauri wa kupungua kidogo frank mwikongi, mi shabiki wako wa Tazara naitwa Maimuna

    ReplyDelete
  3. Nakuona classmate Wangu enzi za ITA.usiache mazoezi maintain.Hongera kwa filam nzuuri.

    ReplyDelete