Pages

Sunday, June 15, 2014

Filamu Ya Zena Na Betina Yakimbiza Sokoni Kwa Mauzo .

Ile filamu ya Zena Na Betina toka kwa Salma Jabu Nisha inadaiwa kukumbiza vilivyo sokoni kwa watu kuichangamkia kuinunua kama njugu. Filamu hiyo imetoka juzi tarehe 12 June huku ikwakutanisha Nisha, Khanifa Daudi, Manaiki Sanga, Happy Nyatawe, Farida Sabu, Senga, Lumolwe Matovolwa na wengineo. Hakikisha unanunua nakala yako halisi.

No comments:

Post a Comment