Pages

Sunday, June 29, 2014

Diamond Platnumz Afunguka Baada Ya Kukosa Tuzo BET Awards 2014.

Baada ya kukosa tuzo za BET Awards 2014 alizokuwa akiwania kipengele cha best international act Africa, Diamond Platnumz amefunguka kuhusiana na kushindwa kwake
. "usipopenda kukubali Matokeo na Ushindi wa Wenzetu basi Daima Hatutaweza kuwa Washindani….Muhimu ni kujua wapi tulipotoka na Wapi tulipo Leo… Katika Nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya Million 40, kuchaguliwa Tanzania ni fursa, Heshima na Hatua kubwa… Cha Muhimu ni kuitumia vyema Fursa Hii na Kuhakikisha Mwakani tunapiga Hatua Zaidi!…. Asante sana kwa wote wanaozidi kuni support kwa hali na Mali, Mapambano ndio kwaaaanza yanaanza sasa…..!!!!!! @wcb_wasafi For Life Baby"

Hayo ni maneno ya busara kama msanii anayetaka kufika mbali, hongera sana Diamond hatua uliyofikia ni nzuri, we are proud of you and next time we hope utanyakuwa tuzo kwa kurekebisha ulipokosea. 
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment