Batuli, Behind The Scenes: Patcho Mwamba, Philemon Lutwaza Ndani Ya Filamu Mpya "Uncle Kiepe"
Batuli na Patcho Mwamba on set
Mastaa wa filamu nchini Yobnesh Yusuph "Batuli", Patcho Mwamba na Philemon Lutwaza wanatarajiwa kuonekana katika filamu mpya inayoitwa Uncle Kiepe. Zinazoonekana ni picha za uchukuaji wa filamu hiyo mpya
.Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.
No comments:
Post a Comment