Wednesday, June 18, 2014

Agnes Masogange Na Corazon Kwamboka Wapongezana Kwa Kuwa Na Shape Za Kufa Mtu.

Agnes Masogange
East African bootylious socialites Agnes Masogange kutoka Tanzania na Corazon Kwamboka toka Kenya wamepongezana kwa kuwa na figure za ukweli zinazowatoa udenda wanaume wengi wakware. Kupitia Instagram Corazon alimsifia Masogange kwa kupost picha yake na kuandika " "This chick though, blazing! Fire! Face, complexion, figure, wonderful heart.. love her to bits @misgerald#kisses. She my WCW for real"

Na baada ya muda Masogange aliona alivyosifiwa na shost wake huyo mpya toka kenya na yeye kumsifia kwa kuwa na kalio la haja kwa kuandika na kupost picha ya Corazon ""I'm in love with her watu na ma ass yao duh mm hapa sigusiii ndukiiiii"


Tabia za wawili hao zinaonekana kulandana kwasababu wote wanapenda kupost picha za makalio yao makubwa.
                                                                       Corazon
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment