Saturday, May 3, 2014

Sio Sawa Kutamba Sokoni Wiki Ijayo.

Filamu Ya Sio Sawa ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa inatarajiwa kuliteka soko la filamu wiki ijayo wakati ikiingia rasmi sokoni. Hakikisha hukosi kununua filamu hii kali iliyowakutanisha King Majuto, Babylove Kalalaa, Modest Bafite na Salehe Lufedha ambaye pia ni producer wa movie hii.

No comments:

Post a Comment