Friday, May 23, 2014

Salehe Lufedha na Modest Bafite Waja Na Filamu Mpya "Mume Bora"

Salehe Lufedha na Modest Bafite
Wakali wa filamu ya Sio Sawa Salehe Lufedha na Modest Bafite wanakuja na filamu nyingine kali inayoitwa Mume bora. Filamu hiyo inatarajiwa kutoka mapema mwezi ujao kwa hiyo hakikisha unanunua nakala yako halisi kuangalia movie hiyo kali.

No comments:

Post a Comment