Tuesday, May 20, 2014

Sabby Angel Ni Full Sarakasi Kwa Ajili Ya Music Video Yake Mpya.

Muigizaji wa filamu nchini ambaye pia ni mwanamuziki Sabby Angel anajifua kwa ajili ya video yake mpya. Sabby yupo kwenye mazoezi makali full sarakasi akiwa na madansa wake kama anavyoonekana pichani. Kwa mujibu wa Sabby mwenyewe ni kuwa yupo katika mikakati mizito ya kufanya muziki wa kimataifa na sio wa kuishia nyumbani pekee. Kwa upande mwingine filamu mpya ya Sabby inayoitwa Moto Wa Radi inaingia sokoni mapema mwezi ujao.

Sabby
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
filamu ya SIO SAWA ipo sokoni nunua nakala yako halisi sasa.

No comments:

Post a Comment