|
Lucy na mpenzi wake |
Star wa filamu Swahiliwood Tanzania, Lucy Komba ameamua kumuweka wazi mpenzi wake ambaye wana muda sasa tangu wawe pamoja. Jamaa huyo ni raia wa Denmark ambaye ni msanii wa muziki na pia akiwa na kazi zake nyingine mbali na muziki.
Swahiliworldplanet imefanikiwa kuzipata picha za Lucy na mpenzi wake huyo kama wanavyoonekana pichani.
Lucy yupo nchini Denmark kwa zaidi ya mwezi sasa huku filamu mpya ya Fundi Seremala aliyoigiza na Cloud, Kajala na Amanda [Poshy ikitarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.
|
Lucy na mpenzi wake |
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni Ijumaa hii April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and
No comments:
Post a Comment