Friday, May 23, 2014

Nisha Awashukuru Sani Na Mashabiki Wake.

"Nawapenda Sani na ahsante kwa baraka zenu za ZENA NA BETINA ahsanteni pia mashabiki zangu kwa kusubiri zimebaki siku 6 tu tukijaaliwa itoke.. shukran za dhati zirudi kwa kampuni yangu ya kusambaza filamu no.1 Tanzania STEPS INTERTAINMENT na BLOGS ZOTE natambua juhudi zenu ktk kunifikisha hapa nilipo na ZENA NA BETINA kuwa katika filamu zinazosubiriwa kwa hamu sana,Mashabiki zangu nyinyi ndio kila kitu kwangu,nikiandika shukran zangu hapa ukurasa utajaa,kikubwa NISHA'S FILM PRODUCTION km kawaida ktk ZENA NA BETINA hatujawaangusha,km mlipenda Tikisa,Pusi na Paku hadi Gumzo,basi ZENA NA BETINA NI ZAIDI YA ZOOTE naombeni support zenu hata kwa wall zenu kutangazia ZENA NA BETINA inatoka tarehe 29 Namaanisha Alkhamis ijayo,,,nawapenda ZENA NA BETINA I love you Sani. Nawapenda mashabiki zangu sanaaa" aliandika Nisha kupitia mtandao mmoja wa kijamii


No comments:

Post a Comment