Pages

Saturday, May 3, 2014

JB Kumkabidhi King Majuto Tuzo Ya Best Actor 2013/2014 Kutoka ZIFF.

JB na King Majuto
Jacob Stephen "JB" Jumatano ilopita alishinda tuzo ya Zanzibar International Film Festival(ZIFF) kama muigizaji boro wa kiume 2013/2014 kupitia filamu ya Shikamoo Mzee lakini mwenyewe JB amesema tuzo hiyo atamkabidhi King Majuto ambaye wamecheza pamoja ndani ya filamu hiyo kwasababu anatambua mchango wake katika filamu hiyo.
Kupitia mtandao mmoja wa kijamii JB aliandika "Juma tano nilifanikiwa kupata tuzo ya ziff best actor 2013 kupitia Shikamoo Mzee , King Majuto heshima ya tuzo hii nairudisha kwako nakupenda baba bila wewe hakuna filamu hii"
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni Ijumaa hii April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment