|
Happy Nyatawe |
Star wa filamu nchini Happy Nyatawe anatarajiwa kuonekana katika filamu mpya ya Zena Na Betina ambayo tayari inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki. Filamu hiyo inaingia sokoni tarehe 29 mwezi huu wa tano. Mastaa wengine ndani ya filamu hiyo ni Salma Jabu Nisha ambaye pia ni producer wa movie hiyo, Senga, Hanifa Daudi "Jennifer wa Kanumba" Farida Sabu "Mama Sonia" Agness Masogange, Lumolwe Matovolwa "Biggie" Manaiki Sanga na wasanii wengine wenye vipaji.
No comments:
Post a Comment