|
Dr.Cheni akiwa amelazwa hospitalini huku msanii mwenzake Chiki Mchoma akimjulia hali |
Star wa filamu nchini Muhsin Awadh "Dr.Cheni" amelazwa hospitalini kwa ugonjwa mpya uliogundulika hivi karibuni ambao unaitwa Dengue. Ugonjwa huo unaenezwa na mbu jike na moja ya dalili kuu za mtu kuumwa ugonjwa huo ni kuishiwa damu na maji mwilini kila mara. Akizungumza na
Bongo5 Dr.Cheni amesema ...
Mungu akusaidie upone haraka Dr.Cheni
No comments:
Post a Comment