Sunday, May 25, 2014

Actress Happy Nyatawe Aachia Picha Mpya Kali.

Muigizaji maarufu wa filamu nchini Happy Nyatawe ameachia picha mpya za uhakika kama anavyoonekana. Kwa upande mwingine star huyo wa muda mrefu anatarajiwa kuonekana kwenye filamu mpya ya ZENA NA BETINA akiwa na Nisha Salma Jabu, Hanifa Daudi, Manaiki Sanga, Farida Sabu, Lumolwe Matovolwa, Senga na wasanii wengine wakali. Filamu hiyo itaingia sokoni tarehe 29 mwezi huu.

No comments:

Post a Comment