Friday, April 25, 2014

Ni Lazima Ray Anioe: Chuchu Hans

Chuchu Hans na Ray
Chuchu Hans ambaye alianza kujipatia umaarufu mwaka 2005 baada ya kushiriki Miss Tanzania na kutwaa taji la Miss Talent kabla ya kuibukia kwenye tasnia ya filamu amesema kuwa haamini maneno yaliondikwa gazetini na mitandaoni hivi juzi kati kuwa mpenzi wake Vicent Kigosi "Ray" aliye pia star wa filamu alisema kuwa hana mpango wa kumuoa. Chuchu alisema kuwa anaamini kuna kidudu mtu anayetaka kuwagombanisha lakini Ray hawezi kusema hivyo kwani anaamini.


 "Kiukweli mimi moyo wangu unakataa kama alisema maneno hayo kwa vile ni mtu ambaye namjua ana mapenzi ya dhati kwangu, unajua kuwa kuna uwezekano kabisa kuna kidudu mtu ambaye anataka kuleta mtafaruku ili tugombane bila sababu na hilo mimi sikubaliani nalo,” alisema star huyo aliyejaaliwa mvuto wakati akizungumza na Globalpublishers

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni tarehe 28 April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and 


.

No comments:

Post a Comment