Wednesday, April 2, 2014

Kwasasa Nipo Single Lakini Natongozwa Kama Kawaida: Jokate Mwegelo

Jokate
Jokate Mwegelo ambaye ni actress, model, presenter na, designer na mjasiriamali amesema kuwa yupo single kwasasa lakini sio kwamba hatongozwi na wanaume kwani wanamtokea kama kawa. Miss Tanzania huyo namba 2 wa mwaka 2006 aliyasema hayo katika kipindi cha The One Show ambacho yeye ni mtangazaji, Kipindi hicho kinarushwa hewani na TV1 Tanzania.



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment