Sunday, April 27, 2014

Filamu Ya "Sio Sawa" Kuingia Sokoni Kesho Jumatatu.

Filamu hii Kali ya SIO SAWA kuingia rasmi kesho tarehe 28 Jumatatu. Mastaa kama King Majuto, Salehe Lufedha, Babylove Kalalaa na Modest Bafite wamefanya makamuzi ya kufa mtu humo ndani. Usikose kununua nakala yako halisi.

No comments:

Post a Comment