Yadaiwa Kundi La Bongo Movie Linafuata Nyayo Za Nisha Katika Kujitoa Kwa Jamii.
|
Nisha |
Inadaiwa kundi la Bongo movie limefuata nyayo za Nisha katika kutoa misaada kwa wasiojiweza. Chanzo kimoja kilicho ndani ya tasnia ya filamu kilisema "bongo movie wameanza
kumuelewa Nisha na sasa wao wamerudi kwa jamii kusaidia na kuwa pamoja
nao baada kutoa misaada sehemu mbalimbali, Nisha ameamua kuja
kivingine baada ya kukubali kulea watoto yatima wenye matatizo na
kuwaasa wasanii warudi kwenye dini na jamii, na kuacha vitu vya kijinga kwa
umaarufu wao na amehimiza kuwa sanaa ni kitega uchumi kitakacho wafanya vijana kujipata ajira na si kuwakera watu kwa skendo" kilisema chanzo hicho
Hata hivyo kundi la Bongo movie si mara yake ya kwanza kutoa msaada
No comments:
Post a Comment