Saturday, February 1, 2014

NISHA, KING MAJUTO, WASTARA NA HEMEDY KUTIKISA SOKONI NA FILAMU YA GUMZO.

Star wa filamu Swahiliwood, Salma Jabu(Nisha) muda wowote filamu yake mpya ya Gumzo ambayo aliiandaa kupitia kampuni yake ya Nisha's Film Production itaingia mtaani muda si mrefu kuanzia sasa. Katika filamu hiyo wamo pia King Majuto, Wastara Juma, Hemdy Suleiman na wasanii wengine chipukizi ambao Nisha aliwafanyia usaili ili kuwapa nafasi waonyeshe vipaji vyao. Kwa hiyo kaa mkao wa kula.

                                                                       Nisha
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment