Thursday, February 6, 2014

KING MAJUTO NA NISHA WAFANYA HIP HOP KATIKA FILAMU YA GUMZO.

King Majuto katika filamu mpya ya Gumzo inayotarajiwa kutoka mwezi huu wa pili amefanya Hip Hop kama anavyoonekana pichani. Filamu hiyo imeandaliwa na Salma Jabu Nisha na masataa wengine ndani ya filamu hiyo ni Hemedy, Wastara na muigizaji mpya anayeitwa Tausi. Je Gumzo itakuwa gumzo kweli?



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment