Wednesday, January 29, 2014

KUNDI LA TNG LAVUNJIKA.

Lile kundi la TNG ambalo lilitamba na ngoma kadhaa huko nyuma limesambaratika na wasanii wa kundi hilo Chiwaman na Tino watakuwa wakijetegemea kwa ngoma binafsi na pale itakapobidi labda siku za usoni wanaweza kufanya kazi tena kama kundi. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Chiwaman ambaye pia ni mchumba wa actress maarufu nchini, Rose Ndauka aliandika............

 "nawatangazia Rasmi wapenzi na wote mlioipenda TNG kuwa Tumeamua kuanzia sasa kupeana nafasi na kila mtu kati ya Tino Na Chiwaman....Tumefikia maamuzi ya kufanya kazi kwa kila mtu ki vyake na itakapobidi tutarudi kufanya kazi pamoja kama kundi la TNG ila kwa sasa CHIWAMAN na NG'AE NG'AE na latino atakuja na nyengine soon"

Chiwaman
 
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment