Sunday, January 19, 2014

KAJALA AANZISHA KAMPUNI YAKE YA FILAMU "KAY ENTERTAINMENT", LAANA NI FILAMU YAKE YA KWANZA KUITENGENEZA.

Kajala
Baada ya kipindi kirefu sasa kupita bila Kajala Masanja kuonekana kwenye filamu za kampuni ya Wema Sepetu(Endless Fame Productions)  iliyodaiwa kumsainisha na kampuni hiyo kudaiwa kuyumba kwa kukosa
usimamizi mzuri sasa muigizaji huyo aliyejaaliwa mvuto amekuja kivingine mwenyewe mwaka huu kwa kuanzisha kampuni yake ya movies na issue nyingine za productions. Habari za uhakika ni kuwa Kampuni ya kajala inaitwa "Kay Entertainment" na tayari muigizaji huyo anashuti filamu yake mpya ya kwanza kama producer na muigizaji kupitia kampuni hiyo. Filamu hiyo inaitwa "Laana" na director ni Leah Mwendamseke(Lamata). Ukiachilia mbali Kajala waigizaji wengine wa filamu hiyo ni pamoja na Gabo, Farida Sabu(Mama Sonia) na wengineo na hizo hapo chini ni baadhi ya picha za utengenezaji wa movie hiyo.................

Lamata, Gabo, Kajala na Farida Sabu(Mama Sonia) wakiwa on set
Kajala akipitia script
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment