Pages

Sunday, January 19, 2014

KABUTI ONYANGO AFUNGUA FILM PRODUCTION YAKE "ONYANGO PRODUCTION"

Kabuti Onyango ambaye ni mmoja wa cameramen maarufu wa filamu nchini amefungua kampuni yake ya filamu inayojishughulisha na production baada ya kufanya kazi na wasanii mbalimbali kwa muda mrefu sasa kama cameraman. Kampuni hiyo inaitwa Onyango Production na kwa mwaka huu inatoa ofa ya punguzo katika gharama za kushuti filamu kwa mtu au msanii yoyote ambaye angependa kufanya kazi na Onyango Production. Namba ni hii hapa kwa ajli ya kazi tu +255 716 026 089

Kabuti Onyango

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment