|
Batuli |
Tanzanian Swahiliwood actress, Yobnesh Yusuph(Batuli) amesma kuwa mipango yake mwaka huu ni kwenda kusoma ili kuongeza elimu yake huku bado akiendelea kufanya filamu kama kawaida. Akichonga na
Swahiliworldplanet Batuli alisema kuwa haendi kusomea elimu ya filamu moja kwa moja bali anasomea general knowlwdge ili kwenda sambamba na mabadiliko ya ulimwengu. Star huyo mwenye mvuto amesema kuwa atasoma hapa hapa nchini kwasasa na baadaye atavuka nje ikiwa ni moja ya mipango yake ya kufanya filamu kimataifa.
"Malengo yangu mwaka huu panapo uzima ni kukamilisha suala la shule,
fans wangu wajiandae kumuona Batuli mpya, kusoma nitasoma hapa hapa ila
kwa baadae nitavuka nje and kwasasa najikita zaidi kwenye general
knowledge wakati huo huo naendelea kufanya movies"
Vile vile Star huyo wa filamu za Fake Smile na Waves Of Sorrow aliongeza kwa kusema kuwa bado yupo single kwasasa hayupo kwenye mahusiano ya kimapenzi hivyo bado anatafuta Mr. right.
"sipo kwenye mahusiano bado nipo single and I'm still searching"
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment