Saturday, November 2, 2013

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA HUDDAH MONROE KUHUSU PENZI LA WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMZ.

Huddah Monroe
Huddah Monroe ambaye ni model na aliyekuwa mwakilishi wa Kenya katika shindano la Big Brother Africa 2013(The Chase) ameamua kutoa yaliyo moyoni mwake katika penzi la Diamond Platinumz na Wema Sepetu akimwambia Diamond kama Wema ndiyo chaguo lake basi asisikilize ya watu wengine ila waendelee na penzi lao, Huddah pia amempa Wema pole ya kumpoteza baba yake mzazi. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii leo Huddah aliandika na kuweka picha ya Wema "huyu Dame wako ,kipenzi chako.For life ,let nobody tell u otherwise.Hao wengine wapita njia tuu .God bless the two of u.RIP to her dad,I know how it feels to lose someone so dear to u.Take heart Ms Boss.I heart you!"



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment