Friday, November 1, 2013

BABA HAJI, RACHEL HAULE, RADO NA SANDRA KUTIKISA SOKO LA FILAMU NA VANESSA IN DILEMMA WIKI IJAYO.

Filamu ya Vanessa In Dilemma ambayo imewakutanisha mastaa wa filamu nchini kama vile Rachel Haule, Haji Adam(Baba Haji), Salama Salmini(Sandra), Simon Mwapagata(Rado) na wengineo inatarajiwa kuingia rasmi sokoni Jumanne ya wiki ijayo na kulibamba soko la filamu. Movie hiyo imeandaliwa na Rachel Haule hivyo usikose kupata nakala yako halisi.........

Kava la filamu ndiyo hili.......................

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment