Wednesday, October 2, 2013

WHO'S BAD YA MTUNISY KUINGIA SOKONI TAREHE 16 MWEZI HUU.

Filamu mpya ya Who's Bad kutoka Nice Entertainment inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 16 mwezi huu. Baadhi ya waigizaji wa filamu hyo ni  Nice Mohamed9Mtunisy) na Patcho Mwamba. Filamu hiyo kwa mujibu wa waandaaji inapaswa kutazamwa na watu wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea hivyo kaa mkao wa kula ili kununua copy yako original.

Mtunisy na Patcho Mwamba
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment