Tuesday, October 1, 2013

ROSE NDAUKA, BATULI, PRINCE OKUYO, SLIM OMAR, RICHIE, HASHIM KAMBI WAANZA KUSHUTI FILAMU MPYA NA MASTAA WA AFRIKA MASHARIKI.

Batuli akiwa na Prince Okuyo(Uganda)
Waigizaji maarufu wa filamu Swahiliwood Hashim Kambi(King Kambi), Haji Adam(Baba Haji), Slim Omar, Rose Ndauka, Yobnesh Yusuph(Batuli) na Single Mtambalike(Richie) wameanza ku-shoot filamu mpya ambayo pia ndani yake wapo mastaa wengine kutoka nchi za Africa mashariki kama vile Fidelite Irakoze Sonia(Rwanda) Joyliz Muchori (Kenya) Prince Okuyo(Uganda) na Cynthia Kezamahoro(Burundi). Hii itakuwa ni filamu ya ushirikiano kwa wana afrika mashariki kwa hiyo inaonekana kila muigizaji amejipanga vizuri kuonyesha uwezo wake katika uigizaji na pia kwakuwa filamu za kiswahili zina watazamaji wengi zaidi katika nchi za Afrika mashariki na kati basi filamu hii inaweza kufanya vizuri sana sokoni.

Mastaa hao wakiwa pamoja............
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment