Muigizaji maarufu wa filamu Swahiliwood Nice Mohamed(Mtunisy) amesikitishwa na kazi kubwa na ngumu ya utengenezaji wa filamu lakini kipato wanachopata bado hakilingani na uzito wa kazi hiyo. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Mtunisy Aliandika "
Uzito na mashaka ya hii kz ingeendana na
kipato tunachokipata wallahi Wasanii tungeweza kuifanyia mengi nchi yetu
na kuisaidia jamii zetu kwani nina amini kuwa kati ya family 5 Tz
haikosi MSANII"
Muigizaji huyo anatarajiwa kutamba sokoni na filamu zake mpya Who's Bad na Jike Dume akiwa na Jackline Wolper.
Mtunisy
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news.
No comments:
Post a Comment