Habari zilizotufikia ni kuwa muigizaji wa filamu nchini Zuhura Maftah ambaye wengi wanamjua kama Malisa amefariki dunia. Bado hatujajua kilichosababisha kifo cha muigizaji huyo lakini tutakuletea updates zaidi.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, amen
Malisa
Follow us on twitter
Swahili World Planet and Like our facebook pages
Swahili World Planet and
Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood new
No comments:
Post a Comment