Kama wewe ni msichana mrembo mwenye mvuto na kipaji cha kuigiza na ulikuwa na ndoto ya kuingia na kuwika katika tasnia ya filamu Swahiliwood basi hii ni nafasi yako kujaribu bahati yako. Actor Nice Mohamed(Mtunisy) ameandika hivi kupitia mtandao mmoja wa kijamii "Kwa yeyote anaejijua ni msichana mzuri
na ni model hasa Nice Entertainment ina nafasi moja kwa ajili ya
kucheza film mpya hivyo ukijiona una sifa hizo haraka fika ofisi ya Nice Entertainment zilizopo Sinza White Inn kwa ajili ya usaili, Thanks
tunasisitiza ulie mzuri na ni model ok"
Mtunisy amecheza na kutengeneza filamu nyingi na mastaa wengi kama vile Baamed, The dream, Best Wife, Mrembo Kikojozi na nyingine nyingi.
Mtunisy
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.
No comments:
Post a Comment