KAMA WEWE NI MSANII CHIPUKIZI NAFASI YA KUIGIZA FILAMU NA SALMA JABU(NISHA) HII HAPA.
Actress Salma Jabu(Nisha) ameandika hivi kupitia facebook "Habari,natumai
mu wazima,nimekiwa nikipokea msg nyingi sana za watu kuhitaji kuigiza
ila hawajapata nafasi,mimi kama NISHA naomba nitumie kile nilichonacho
kugawana na wewe unayehitaji kuja huku ila hujapata njia tu,habari njema
kutoka NISHA'S FILM PRODUCTION kesho mnamo majira ya saa 8:00 mchana
hadi 10 jioni.. katika ukumbi wa vijana kutakuwa na audition kwa ajili
ya filamu mpya baada ya TIKISA na PUSI NA PAKU.. Kama ww unahisi
unapenda na unaweza,ila hujapata nafasi tafadhali naomba ufike kwa muda
uliowekwa,hakuna vigezo,hatutazami uzuri kikubwa ni kipaji tu,kwa
maelezo zaidi piga simu #0716026089 anaitwa Kabuti Onyango au 0717118987
Feisal samahani kwa ujumbe mrefu,♥nawapenda sana mtaarifu na
mwingine,tukutane kesho vijana kinondoni saa 8.. ONE LOVE"
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pagesSwahili World Planet andBongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood new
Ndo maan nampenda Nisha gud gal
ReplyDelete